sw_2co_text_ulb/02/05.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 5 Kama kuna yeyote amesababisha maumivu, hajasababisha tu kwangu, lakini kwa kiwango fulani - bila kuweka ukali zaidi - kwenu ninyi nyote. \v 6 Hii adhabu ya mtu huyo kwa wengi inatosha. \v 7 Kwa hiyo sasa badala ya adhabu, mnapaswa kumsamehe na kumfariji. Fanyeni hivi ili kwamba asiweze kushindwa na huzuni iliyozidi.