sw_2ch_text_reg/34/14.txt

1 line
447 B
Plaintext

\v 14 Walipoileta fedha ambayo ilikuwa imeletwa kwenye nyumba ya Yahwe, Hilkia yule kuhani akakiokota kitabu cha sheri ya Yahwe ambacho kilikuwa kimetolewa kupitia Musa. \v 15 Hilkia akamwambia Shafani yule mwandishi, "Nimekiokota kitabu cha sheria katika nyumba ya Yahwe". Hilikia akakileta kitabu kwa Shefani. \v 16 Shefani akakipelek kitabu kwa mfalme, na pia akatoa taarifa kwake, akisema, "Watumishi wako wanafanya kila kitu walichokabidhiwa.