sw_2ch_text_reg/36/03.txt

1 line
351 B
Plaintext

\v 3 Mfalme wa Misiri akamwondoa katika Yerusalemu, na akamlazimisha kutoa faini kwa nchi ya talanta za fedha mia moja na talanta moja ya dhahabu. \v 4 Mfalme wa Misiri akamfanya Eliakimu, ndugu yake, mfalme juu ya Yuda na Yerusalemu, na akambadilisha jina lake kuwa Yehoakimu. Kisha Neko akamchukua ndugu yake Eliakimu - Yeahazi na kumpeleka Misiri.