sw_2ch_text_reg/06/01.txt

1 line
284 B
Plaintext

\v 1 Kisha Selemani akasema, "Yahwe alisema kwamba ataishi katika giza nene, \v 2 lakini nimekujengea makao makuu, sehemu kwa ajili yako ya kuishi milele." \v 3 Kisha mfaalme akageuka nyuma na kuwabariki kusanyiko lote la Israeli, wakati kusanyiko lote la Israeli walikuwa wamesimama.