sw_2ch_text_reg/35/16.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 16 Kwa hiyo, wakati huo huduma yote ya Yahwe ilifanyika kwa ajili ya kusherekea Pasaka na kutoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya Yahwe, Kama alivyoamuru mfalme Yosia. \v 17 Watu wa Israeli ambao walikuwepo wakaifanya Pasaka wakati huo, na kisha Sikukuu ya Mikate isiyochachwa kwa siku saba.