\v 24 Watumishi wake wakapanga njama dhidi yake na wakamua katika nyumba yake mwenyewe. \v 25 Lakini watu wa nchi wakawaua wote waliofanya njama dhidi ya Mfalme Amoni, na wakamfanya Yosia, mwanaye, mfalme katika nafasi yake.