sw_2ch_text_reg/24/06.txt

1 line
382 B
Plaintext

\v 6 Kwa hiyo mfalme akamuita Yehoyada, yule kuhani, na kumwambia, "Kwa nini hukuwaagiza Walawi kuleta kutoka Yud na Yerusalemu kodo iliyoagizwa na Musa mtumishi wa Yahwe na kusanyiko la Israeli, kwa ajili ya amri za hema ya agano?" \v 7 Kwa maana wana wa Athalia, yule mwanamke muovu, walikuwa wameivunja nyumba ya Mungu na kuwapa Mabaali vitu vyote vitakatifu vya nyumba ya Yahwe.