\v 3 Selemani akauavamia Hamathzoba, akaushinda. \v 4 Akaijenga Tadmori katika nyika, na miji yote ya hazina, ambayo aliijenga katika Hamathi.