1 line
451 B
Plaintext
1 line
451 B
Plaintext
\v 3 Akasema kwa Walawi waliowafundisha Israeli wote na waliokuwa wamewekwa wakfu kwa Yahwe, "Liwekeni sanduka takatifu katika nyumba ambayo Sulemani mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli aliijenga. Hamtakuwa na mzingo tena mabegani mwenu. Sasa mwabuduni Yahwe Mungu wenu, na watumikieni watu wake Israeli. \v 4 Jikusanyeni wenyewe kwa majina ya nyumba za babu zenu na zamu zenu, mkifuata maelekezo ya Daudi, mfalme wa Israeli, na yale ya Sulemani, mwaye. |