sw_2ch_text_reg/24/04.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 4 Ikawa baada ya haya, kwamba Yoashi aliamua kuitengeneza nyumba ya Yahwe. \v 5 Akawakusanya pamoja makuhani na Walawi, na kusema kwao, " Nendeni nje kila mwaka kwenye miji ya Yuda na kukusanya fedha kutoka Israeli yote kwa ajili ya kuikarabati nyumba ya Mungu wenu. Hakikisheni kwamba mnaanza haraka." Walawi hawakufanya kitu kwanza.