sw_2ch_text_reg/18/01.txt

1 line
580 B
Plaintext

\v 1 Sasa Yehoshafati alikauwa na utajiri mwingi na heshima kubwa; alifanya undugu na Ahabu mmoja wa watu wa familia yake akamuo binti yake. \v 2 Baada ya miaka kadhaa, akashsuka chini kwa Ahabu huko Samaria. Ahabu akachinja kondoo na ngo'mbe wengi kwa ajili ya yake na watu waliokuwa pamoja naye. Ahabu pia akamshawishi kuivamia Ramothi-gileadi pamoja naye. \v 3 Ahabu, mfalme wa Israeli, akamwambia Yehoshafati, mfalme wa Yuda, "Utakwenda Ramothi-gileadi pamoja nami?" Yehoshafati akamjibu, "Mimi ni kama wewe, na watu wangu ni kama watu wako; tutakuwa pamoja nawe katika vita."