1 line
524 B
Plaintext
1 line
524 B
Plaintext
\v 15 \v 16 \v 17 Sulemani pia akatengeneza nguzo mbili, kila moja ikiwa na urefu wa mikono thelathini na tano kwenda juu, kwa maana mbele ya nyumba; taji ambazo zilikuwa juu ya nguzo zilikuwa na urefu wa mikono mitano kwenda juu. 16 Akatengeneza minyororo kwa ajili ya nguzo na akaiweka juu yake, pia akatengeneza makomamanga mia moja na akayaunganisha kwenye minyororo. 17 Akazisimamisha nguzo mbele ya hekalu, mkono wa kulia, na nyingine mkono wa kushoto; akaiita nguzo ya kulia Yakini, na nguzo ya kushoto akaiita Boazi. |