sw_2ch_text_reg/29/25.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 25 Hezekia akawaweka Walawi katika nyumba ya Yahwe wakiwa na matoazi, vinanda, na vinubi, akiwapanga kwa amri ya Daaudi, Gadi, mwonaji wa mfalme, na Nathani, nabii, kwa maana amri ilitoka kwa Yahwe kupitia manabii wake. \v 26 Walawi wakasimama na vyombo vya Daudi, na makauhani wakasimama na matarumbeta.