sw_2ch_text_reg/34/29.txt

1 line
341 B
Plaintext

\v 29 Mfalme akatuma wajumbe na kuwakusanya wazee wote wa Yuda na Yerusalemu. \v 30 Kisha mfalme akaenda kwenye nyumba ya Yahwe, na watu wote wa Yuda wakaaji wa Yerusalemu, na makuhani, Walawi, na watu wote, kuanzia wakubwa hadi wadogo. Kisha akasoma mbele zao maneno yote ya kitabu cha Agano kilichokuwa kimepatikana katika nyumba ya Yahwe.