sw_2ch_text_reg/11/02.txt

1 line
397 B
Plaintext

\v 2 Lakini neno la Yahwe likamjia Shemaya mtu wa Mungu, likisema, \v 3 "Sema kwa Rehoboamu mwana wa Selemani, mfalme wa Yuda, na kwa Israeli kataika Yuda na Benyamaini, \v 4 Yahwe anasema hivi, "Msivamie wala kufanya vita dhidi ya ndugu zako. Kila mmoja lazima arudi kwenye nyumba yake, kwa maana nimesababisha jambo hili kutokea." Kwa hiyo wakayatii maneno ya Yahwe na kuacha kumvamia Yeroboamu.