sw_2ch_text_reg/27/03.txt

1 line
189 B
Plaintext

\v 3 Akalijenga tena lango la juu la nyumba ya Yahwe, na juu ya kilima cha Ofeli akajenga sana. \v 4 Vilevile alijenga miji katika kilima cha Yuda, na katika mistu alijenga ngome na minara.