sw_2ch_text_reg/20/01.txt

1 line
830 B
Plaintext

\v 1 Ikawa baada ya hayo, kwamba watu wa Moabu na Amoni, na pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja juu ya Yehoshafati ili kupigana vita. (Mandishi, "baadhi ya Wameuni" yanatoa masahihisho kwa ajili ya maandishi ya Kiebrania, ambayo yanasomeka, "baadhi ya Waamoni". Inadhaniwa kwamba "Wameuni" ndilo neno la asili, na wenye kunukuu walilibadili kuwa "baadhi ya Waamoni". Lakaini jina hili la mwisho halileti maana, kwa sababu Waamoni tayari wamekwisha tajwa katika mstri huu. Vile vile, matoleo tofauti tofauti yanajihusha na tatizo hili katika namna mabli mbali) \v 2 Kisha baadhi ya watu wakaja wakamwambia Yehoshafati, wakisema, "Umati mkubwa wanakuja juu yako ng'ambo ya Bahari iliyokufa, kutoka Edomu. Ona, wako Hason- tamari", ambayo ndiyo En-gedi. (Badala ya "Edomu" baadhi ya matoleo ya zamani na ya kisasa yanasomeka, "Aramu."