sw_2ch_text_reg/06/40.txt

1 line
456 B
Plaintext

\v 41 \v 42 \v 40 Sasa, Mungu wangu, ninakusihi, uyafungue macho yako, na masikio yako yasikie maombi yatakayofanywa katika sehemu hii. 41 Sasa basi, amka, Yahwe Mungu, kwenye mahali pako pa kupumzikia, Wewe na sanduku la nguvu zako. Makuhani wako, Yahwe Mungu, wavikwe wokovu, na watakatifu wako wafurahi katika wema. 42 Yahwe Mungu, usiugeuze nyuma uso wa masihi wako. Yakumbuke matendo yako katika agano lako la ufalme kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako.