1 line
379 B
Plaintext
1 line
379 B
Plaintext
\v 4 Pendekezo hili likaonekana sahihi katika macho ya mfalme na ya kusanyiko lote. \v 5 Kwa hiyo wakakubaliana kufanya tangazo katika Israeli yote, kuanzia Beer-sheba hadi Dani, kwamba watu lazima waje kusherehekea Paska ya Yahwe, Mungu wa Israeli, huko Yerusalemu. Kwa maana walikuwa hawakuwa wameisherehekea kwa hesabu kubwa ya watu, kwa mujibu wa jinsi ilivyokuwa imeandikwa. |