sw_2ch_text_reg/12/05.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 5 Sasa Shemaya nabii akaja kwa Rehoboamu na kwa viongozi wa Yuda ambao walikuwa wamekusanyika pamoja Yerusalemu kwa sababu ya Shishaki. Shemaya akasema kwao, "Hivi ndivyo anavyosema Yahwe: Mmenisahau, kwa hiyo pia nimewaweka katika mkono wa Shishaki". \v 6 Kisha wakuu wa Israeli na mfalme wakajinyenyekeza na kusema, "Yahwe ni mtakatifu."