sw_2ch_text_reg/09/22.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 22 Kwa hiyo Mfalme Selemani aliawazidi utajiri na hekima wafalme wote wa dunia. \v 23 Dunia yote waliutafuta uwepo wa Selemanai ili kusikia hekima yake, ambayo Mungu alikuwa ameiweka katika moyo wake. \v 24 Waliomtembelea walileta kodi, vyombo vya shaba na dhahabu, nguo, silaha, na manukato, na farasi na anyumbu, mwaka baada ya mwaka.