sw_2ch_text_reg/05/04.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 4 Wazee wote wa Israeli wakaja, na Walawi wakalichukua sanduku. \v 5 Wakalileta sanduku, hema ya kukutania, na vyombo vitakatifu vyote ambavyo vilikuwa ndani ya hema. Makuhani waliokuwa wa kabila la Lawi wakavileta vtu hivyo. \v 6 Mfalme Selemanai na kusanyiko lote la Israeli wakaja pamoja, mbele ya sanduku, wakitoa sadaka za kondoo na maksai ambao hawakuweza kuhesabika.