sw_2ch_text_reg/04/09.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 9 Zaidi ya hayo akatengeneza mahakama ya makuhani na mahakama kuu, na milangu kwa ajili ya mahakama, akaifunika milango yake kwa shaba. \v 10 Akaiweka bahari upande wa kulia wa nyumba, masharika, ikielekea upande wa kusini.