sw_2ch_text_reg/33/10.txt

1 line
232 B
Plaintext

\v 10 Yahwe akasema kwa Manase, na kwa watu wake wote, lakini hawakumsikiliza. \v 11 Kwa hivyo Yahwe akaleta juu yao maamri wa jeshi la Ashuru, ambao walimchukua Manase katika minyonyoro, wakamfunga kwa pingu, na wakampeleka Babeli.