1 line
669 B
Plaintext
1 line
669 B
Plaintext
\v 16 Israeli wote, walipoona kwamba mfalme hakuwasikiliza, watu wakamjibu na kusema, "Tunasehemu gani katika Daudi? Hatuna urith katika wana wa Yese! Kila mmoja wenu anapaswa kwenda katika hema yake, Israeli. Sasa kila mtu aone nyumba yake, Daudi." Kwa hiyo Israeli wote wakarudi kwenye hema zao. \v 17 Lakini kwa watu wa Yuda walioishi katika miji ya Yuda, Yeroboamu akatawala juu yao. \v 18 Kisha mfalme Rehoboamu akamtuma Adoramu, ambaye alikuwa msimamizi wa wafanya kazi, lakini watu wa Israeli walimuua kwa kumpiga mawe. Mfalame Rehoboamu akaingia haraka ndani ya gari lake kwenda Yerusalemu. \v 19 Kwa hiyo Israeli wakawa waasi dhidi ya nyumba ya Mungu hadi leo. |