1 line
308 B
Plaintext
1 line
308 B
Plaintext
\v 3 Malkia wa Sheba alipoiona hekima ya Sulemani na ikulu aliyokuwa amejenga, \v 4 chakula mezani kwake, mahali pa kukaa watumishi wake, kazi ya watumishi wake na mavazi yao, pia wabebakikombe na mavazi yao, na namna alivyotoa sadaka za kuteketezwa katika nyumba ya Yahwe, hapakuwa na roho zaidi ndani yake. |