sw_2ch_text_reg/03/04.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 4 Urefu wa ukumbi mbele ya nyumba ulikuwa mikono ishirini, ukilingana na upana wa nyumba, urefu wake kwenda juu pia ulikuwa mikono ishirini, na Sulemani akaifunika sehemu ya ndani kwa dhahabu halisi. \v 5 Akalitengeneza paa la ukumbi mkuu kwa miti ya miberoshi, ambayo aliifunika kwa dhahabu halisi, na ambayo aliifunika kwa miti ya mitende na minyororo.