1 line
610 B
Plaintext
1 line
610 B
Plaintext
\v 25 Yehoshafati na watu wake walipokuja kuchukua nyara kutoka kwa hao watu, walikuta miongoni mwao bidhaa nyingi, nguo, na johari za thamani, ambazo walizichukua kwa ajili yao wenyewe, nyingi kuliko uwezo wao wa kubeba. Iliwachukua siku tatu kusomba nyara hizo, zilikuwa nyingi sana. (Badala ya "miongoni mwao", baadhi ya maandishi ya zamani na ya kisasa yanasema, "ng'ombe." badala ya "nguo" baadhi ya maandiko ya kale na ya kisasa yanasema, "miili iliyokufa"). \v 26 Katika siku ya nne wakakusanyika katika bonde la Baraka, Huko wakamsifu Yaahwe, kwa hiyo jina la sehemu hiyo hata leo ni "Bonde la Baraka". |