sw_2ch_text_reg/35/26.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 26 \v 27 Kwa mambo mengine kuhusu Yosia, na matendo yake mema aliyoyafanya katika kutii kwa kile kilichoandikwa katika sheria ya Yahwe— na matendo yake, kutoka mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli.