sw_2ch_text_reg/35/05.txt

1 line
375 B
Plaintext

\v 5 Simameni katika sehemu takatifu, mkichukua nafasi zenu kwa zamu zenu ndani ya nyumba za mababu wa nadugu zenu, uzao wa watu, na mchukue sehemu zenu kwa zamu zenu ndani ya nyumba za mababu wa Walawi. \v 6 Chinjeni wanakondoo wa Paska, jitakaseni wenyewe, andaeni wanakondoo kwa ajili ya ndugu zenu, kufanya sawa sawa na neno la Yahwe ambalo lilitolewa kwa mkono wa Musa".