sw_2ch_text_reg/35/01.txt

1 line
238 B
Plaintext

\c 35 \v 1 Yosia asherehekea Pasaka kwa ajili ya Yahwe katika Yerusalemu, na wakachinja wanakondoo katika siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. \v 2 Akawaweka makuhani katika nafasi zao na akawatia moyo katika huduma za nyumba ya Yahwe.