sw_2ch_text_reg/25/07.txt

1 line
352 B
Plaintext

\v 7 Lakini mtu wa Mungu alikuja kwake na kusema, " Mfalme, usiliache jeshi la Istaeli kwenda nawe, kwa maana Yahwe hayupo pamoja na Israeli -wala na mtu Yeyote wa Efraimu. \v 8 Lakini hata kama mtaenda na mkiwa wenye ushupavu na imara katika vita, Mungu atawatupa chini mbele ya adui, kwa maana Mungu ana nguvu za kusaidia, na nguvu za kurusha chini".