sw_2ch_text_reg/24/01.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 1 Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala; akatawala kwa mika arobaini katika Yerusalemu. Jina la mama yake aliitwa Sibia wa Beer-sheba. \v 2 Yoashi alifanya yaliyo mema katika macho ya Yahwe siku zote za Yehoyada, yule kuhani. \v 3 Yehoyada akajichukulia wake wawili kwa ajili yake, na akawa baba wa wana na mabinti.