sw_2ch_text_reg/06/14.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 14 Akasema, "Yahwe, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu kama wewe katika mbingu, au juu ya dunia, ambaye anatunza agano na upendo imara na watumishi wako ambao hutembea mbele zako kwa moyo wao wote; \v 15 wewe uliyemtimizia Daudi baba yangu, uliyokuwa umemwahidi. Ndiyo, ulisema kwa kinywa chako na umetimiza kwa mkono wako, kama ilivyo leo.