sw_2ch_text_reg/06/04.txt

1 line
488 B
Plaintext

\v 4 Akasema, "Yahwe, Mungu wa Israeli, usifiwe, uliyesema na Daudi baba yangu, na ametimiza kwa mikono yake mwenyewe, akisema. \v 5 'Tangu siku nilipowaleta watu wanagu nje ya nchi ya Misiri, sikuchagua mji wowote nje ya makabila yote ya Israeli ambamo nyumba ingejengwa, ili jina langu liwe humo. Wala sikuchagua mtu yeyote kuwa mfalme juu ya watu wangu Israeli. \v 6 Aidha, nimechagua Yeruselemu, ili kwamba jina langu liwe humo, na nimemchagua Daudi kuwa juu ya watu wanagu Israeli. '