sw_2ch_text_reg/04/01.txt

1 line
399 B
Plaintext

\v 1 Vivile akatengeneza madhabahu ya shaba; urefu wake ulikuwa mikono ishirini, na upana wake ulikuwa mikono ishirini. \v 2 Pia akatengeneza bahari ya mduara ya chuma cha kuyeyushwa, mikono kumi kutoka ukingo hadi ukingo. Urefu wake kwenda juu ulikuwa mikono mitano, na bahari ilikuwa na mzunguko wa mikono thelatinini. \v 3 Chini ya kingo kuzunguka bahari kulikuwapo ng'ombe dume, kumi kila mkono,