sw_2ch_text_reg/17/03.txt

1 line
341 B
Plaintext

\v 3 Yahwe alikuwa pamoja na Yehoshafati kwa sababu alitembea katika njia za kwanza za baba yake Daudi, na hakuwatafuta Mabaali. (Baadhi ya mandiko ya kale hayana "Daudi", na baadhi ya matoleo ya kisasa yameacha hili jina "Daudi). \v 4 Badala yake, alimtegemea Mungu wa baba yake, na alitembea katika amri zake, siyo katika tabia ya Israeli.