sw_2ch_text_reg/08/17.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 17 \v 18 Kisha Sulemani akaenda Esion geberi, na Elothi, juu ya pwani katika nchi ya Edomu. Hiramu akatuma meli zake kupitia watumishi wake ambao walikuwa wana maji wenye uzoefu. Wakasafiri na watumishi wa Sulemani hadi Ofiri. Wakachukua kutoka huko talanta 450 za dhahabu ambazo walimletea Sulemani.