sw_2ch_text_reg/08/16.txt

1 line
153 B
Plaintext

\v 16 Kazi yote aliyoagizwa na Sulemani ikakamilika, kutoka siku ya msingi wa nyumba ya Yahwe ulipowekwa hadi ilipokamilika. Nyumba ya Yahwe ikamalizika.