sw_2ch_text_reg/08/07.txt

1 line
289 B
Plaintext

\v 7 Kuhusu watu wengine wote ambao walikuwa wamesalia wa Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi, Wayebusi, ambao hawakuwa wa Israeli, \v 8 watoto wao ambao waliachwa baada yao katika nchi, ambao watu wa Israeli hawakuwaangamiza—Sulemani akawafanyisha kazi kwa nguvu, ndivyo walivyo hata leo.