sw_2ch_text_reg/08/01.txt

1 line
238 B
Plaintext

\c 8 \v 1 Ikawa karibu ya mwisho wa miaka ishirini, kipindi ambacho Sulemani alikuwa ameijenga nyumba ya Yahwe na ya kwake mwenye, \v 2 kwamba Sulemani akaiajenga miji ambayo Hiramu alikuwa amempa, na ndani yake akawaweka watu wa Israeli.