1 line
313 B
Plaintext
1 line
313 B
Plaintext
\v 4 Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli, Tafadhali litafute neno la Yahwe kwanza kwa ajili ya jibu lako" \v 5 Kisha mfale wa Israeli akawakusanya manabii pamoja, wanauame mia nne, na akasema akwao, Tutaenda vitani Ramothi-gileadi, au nisiende?" Wakasema, "Vamia, kwa maana Mungu ataitia mkononi mwa mfalme." |