sw_2ch_text_reg/09/29.txt

1 line
425 B
Plaintext

\v 29 \v 30 \v 31 Kwa mambo mengine kuhusu Sulemani, mwanzo na mwisho, hayajandikwa katika Historia ya Nathani Nabii, katika unabii wa Abiya Mshinoni, na katika Maono ya Ido mwonaji wa mambo ya Yeroboamu mwana wa Nabati? 30 Sulemani akatawala katika Yerusalemu juu ya Israeli yote kwa miaka arobaini.31 Akalala na babu zake na watu wakamzika katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu, mwanaye, akawa mfalme katika sehemu yake.