1 line
460 B
Plaintext
1 line
460 B
Plaintext
\v 20 Baada ya haya yote, baada ya Yosia kuliweka hekalu katika utaratibu, Neko, mfalme wa Misiri, akaenda juu kupigana dhidi ya Karkemist karibu na mto Frati, na Yosia akaenda kupigana juu yake. \v 21 Lakini Niko akatuma wajumbe kwake, akisema, "Nikufanye nini, mfalme wa Yuda? Leo siji kinyume nawe, lakini dhidi ya nyumba ambayo nafanya vita nayo. Mungu ameniamuru kuharakisha, hivyo acha kumwingilia Mungu, ambaye yuko pamoja nami, la sivyo atakuangamiza." |