sw_2ch_text_reg/36/22.txt

1 line
573 B
Plaintext

\v 22 Sasa katika mwaka wa kwanza wa Koreshi, mfalme wa Uajemi, ili kwamba neno la Yahwe kwa kinywa cha Yeremia liweze kutimizwa, Yahwe akaipa hamasa roho ya Koreshi, mfalme wa Uajemi, kwamba akafanya tangazo katika ufalme wake wote, na akaliweka pia katika maandishi. Akasema, \v 23 "Hivi ndivyo Koreshi, mfalme wa Uajemi, anasema: Yahwe, Mungu wa mbinguni, amenipa falme zote za dunia. Ameniagiza nijenge nyumba kwa ajili yake katika Yerusalemu, ambayo ipo Yuda. Yeyote aliyemiongoni mwenu kutoka katika watu wake wote, Yahwe Mungu wenu, awe naye. Akwee kwenye ile nchi."