sw_2ch_text_reg/36/17.txt

1 line
227 B
Plaintext

\v 17 Hivyo Mungu aliwapeleka juu yao mfalme wa Wakaldayo, ambaye aliwaua vijana wao kwa upanga nyumbani mwa patakatifu, na hakuwa na huruma juu ya vijana au mabikra, watu wazee au wenye mvi. Mungu akawatoa wote mikononi mwake.