sw_2ch_text_reg/36/13.txt

1 line
393 B
Plaintext

\v 13 Sedekia pia akaasi dhidi ya Mfalme Nebukadreza, ambaye alikuwa amemfanya aape uaminifu kwake kupitia Mungu. Lakini Sedekia aliishupaza shingo yake na kuufanya moyo wake mgumu usigeuke kwa Yahwe, Mungu wa Israeli. \v 14 Vilevile, viongozi wote wa makuhani na watu hawakuwa waaminifu, na waliufuata uovu wa mataiafa. Wakainajisi nyumba ya Yahwe ambayo alikuwa ameitakasa katika Yerusalemu.