sw_2ch_text_reg/36/11.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 11 Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na moja alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na moja katika Yerusalemu. Akafanya yaliokuwa maovu machoni mwa Yahwe Mungu wake. \v 12 Hakujinyenyekesha mwenyewe mbele za Yeremia nabii, ambaye alisema kutoka kinywani cha Yahwe.