sw_2ch_text_reg/36/09.txt

1 line
386 B
Plaintext

\v 9 Yekonia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; alitawala miezi mitatu na siku kumi katika Yerusalemu. Akafanya yaliyokuwa maovu katika macho ya Yahwe. \v 10 Katika kipindi cha mwisho cha mwaka, mfalme Nebukadreza akatuma watu na wakampeleka Babeli,pamoja vitu vya thamani kutoka katika nyumba ya Yahwe, na kumfanya Sedekia ndugu yake, mfalme juu ya Yuda na Yerusalemu.