sw_2ch_text_reg/36/01.txt

1 line
254 B
Plaintext

\c 36 \v 1 Kisha watu wa nchi wakamchukua Yehoazi mwana wa Yosia, na wakamfanya mfalme katika nafasi ya baba yake katika Yerusalemu. \v 2 Yehoazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, na akatawala miezi mitatu katita Yerusalemu.